2 Timothy 2:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na neno lao litaenea kama donda-ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na mafundisho ya wale wanaoyachukua mafundisho hayo wanaenea kama saratani mwilini. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na neno lao litaenea kama donda ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nalo neno lao litaambukiza kama ukoma; miongoni mwao hao wamo Himeneo na Fileto
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na neno lao litaenea kama donda-ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno yao yanaambukiza kama vile kidonda chenye kuoza kinavyoharibu mwili wote. Kati yao kuna Himeneo na Fileto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na neno lao litakuwa likitafuna kama donda ndugu. Katika hao ni Humenayo na Fileto,