2 Timothy 2:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uelewe kila kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Mwenyezi Mungu atakupa ufahamu katika mambo haya yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yafahamu sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa akili katika mambo yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nakutaka wewe kuyafikiri ninayokuambia na Bwana atakupa uwezo wa kuyaelewa mambo haya yote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uyaelewe yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uelewe kila kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Mungu atakupa ufahamu katika mambo hayo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fikiri sana kuhusu haya nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo hayo yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yatafakari sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa ufahamu katika mambo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fikiria hayo ninayosema, kwani Bwana atakuwezesha uelewe kila kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itambue maana yao, nisemayo! Kwani Bwana atakupa utambuzi katika mambo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yafahamu sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa akili katika mambo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ufikiri juu ya maneno hayo ninayosema, kwa maana Bwana atakupa uwezo kwa kuyaelewa yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yafahamu sana hayo nisemayo, maana Bwana atakupa akili katika mambo yote.