2 Timothy 3:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wanaopenda anasa kuliko kumpenda Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu watawasaliti rafiki zao. Watafanya mambo ya kipuuzi bila kufikiri na watajisifu wenyewe. Badala ya kumpenda Mungu watapenda starehe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wapendao anasa zaidi kuliko kumpenda Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wapendao anasa zaidi kuliko kumpenda Mwenyezi Mungu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila watakuwa wachongezi na wakorofi na wenye majivuno; kuzifuata tamaa za miili watakupenda kuliko kumfuata Mungu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakuwa wenye kutoana, wenye kichwa kigumu, wenye majivuno na wenye kupenda tamaa ya vitu kuliko kumupenda Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
makhaini, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko Mungu;