2 Timothy 3:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje, lakini wakizikana nguvu za Mungu. Jiepushe na watu kama hao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watajifanya kuwa wanamheshimu Mungu, lakini watazikana nguvu za uzima ambazo ndizo zinazotuwezesha kwa hakika kumpa utukufu na kumpendeza. Ukae mbali na watu wa jinsi hiyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje lakini wakizikana nguvu za Mungu. Jiepushe na watu wa namna hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje, lakini wakizikana nguvu za Mwenyezi Mungu. Jiepushe na watu wa namna hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
walio na utaua kwa nje, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
watajitendekeza kuwa wenye kumcha Mungu, lakini nguvu yake huipingia. Walio hivyo uwaepuke!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa inje watajionyesha kama watu wenye kushikamana na ibada, lakini wanazarau uwezo wake. Ujiepushe na watu hao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wenye mfano wa utawa, lakini wakikana nguvu zake; ujiepushe na hao.