2 Timothy 3:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa hujifunza siku zote, lakini kamwe hawawezi kuufikia ujuzi wa kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawake hawa nyakati zote wanataka kujifunza, lakini hawawezi kamwe kuufikia ufahamu wote wa kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wanawake ambao wanajaribu daima kujifunza lakini hawawezi kuufikia ujuzi wa huo ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hao hufundishwa toka kale, lakini hapana, watakapoweza kuufikia utambuzi wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wale wanataka kujifunza siku zote, lakini hawafikii kutambua ukweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakijifunza siku zote, wasiweze kabisa kufikia ujuzi wa kweli.