2 Timothy 4:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni Luka pekee aliye hapa nami. Mtafute Marko uje naye, kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana anifaa kwa utumishi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Luka ni peke yake aliyebaki nami. Mchukue Marko na uje naye utakapokuja, kwa sababu anaweza kunisaidia katika kazi yangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana ananifaa kwa utumishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Luka peke yake yuko pamoja nami. Mchukue Marko, uje pamoja naye! Kwani hunitumikia vizuri sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe, maana anifaa kwa utumishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Luka peke yake ndiye anayekuwa hapa pamoja nami. Umutwae Marko, ukuje pamoja naye, kwa sababu ananifalia katika kazi yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe; maana anifaa kwa kazi ya khuduma.