2 Timothy 4:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iskanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana Isa atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Iskanda, mfua shaba, alionyesha ubaya mwingi kwangu; Bwana atamlipa sawasawa na matendo yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Iskanda aliye mfua vyuma amenitendea mabaya mengi. Bwana atamlipa kwa yale aliyotenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aleksanda, yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Mungu atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iskanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana Isa atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Iskanda, mfua shaba, alionesha ubaya mwingi kwangu; Bwana atamlipa kulingana na matendo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alekisandro, yule mfua shaba amenifanyia maovu mengi; Bwana atamlipa, kama matendo yake yalivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Iskanda, mfua shaba, alionyesha ubaya mwingi kwangu; Bwana atamlipa sawasawa na matendo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alesanduro, yule mufua vyuma amenitendea mabaya mengi. Bwana atamulipa kufuatana na matendo yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Iskander mfua shaba alinionya mabaya mengi; Bwana atamlipa kwa jinsi ya matendo yake.