2 Timothy 4:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga maneno yetu vikali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ujihadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wewe pia uwe mwangalifu kwake, kwa kuwa ameyapinga kwa juhudi mafundisho yetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ujihadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata wewe ujilinde kwa ajili ya mtu huyo, kwani ameyapinga sana maneno yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ujihadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe vilevile ujilinde naye kwa sababu alipinga kwa nguvu maneno yetu yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nawe ujibadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.