2 Timothy 4:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu; wote waliniacha. Mungu asiwahesabie kosa hilo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika jawabu langu la kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara ya kwanza nilipokuwa nafanya utetezi wangu, hakuna hata mmoja aliyekuja kunisaidia. Badala yake wote wakaniacha. Na wasihesabiwe hayo na Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu; wote waliniacha. Mungu asiwahesabie kosa hilo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu; wote waliniacha. Mungu asiwahesabie kosa hilo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Namwomba Mungu wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Namwomba Mwenyezi Mungu wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika utetezi wangu wa kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu; wote waliniacha. Mungu asiwahesabie kosa hilo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipojikania mara ya kwanza, hakuwapo hata mmoja aliyesimama upande wangu, wote waliniacha. Wasihesabiwe jambo hili!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika jawabu langu la kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna hata mutu mumoja aliyenisaidia; wote waliniachilia. Mungu asiwahesabie makosa yao!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Katika jawabu yangu ya kwauza hakuna mtu aliyesimama pamoja nami, bali wote waliniacha; wasihesabiwe khatiya kwa jambo bili.