2 Timothy 4:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani mwa Onesiforo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nisalimie Priska na Akila, na wale wa nyumbani mwa Onesiforo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msalimu Priska na Akila na wale wa nyumbani mwake Onesiforo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nisalimie Priska na Akila, na wale wa nyumbani mwa Onesiforo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisalimie Puriska na Akila walio wa nyumbani mwa Onesifiro!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nisalimie Priska na Akila, na wale wa nyumbani mwa Onesiforo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unisalimie Prisila na Akila na jamaa la Onesiforo vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nisalimie Priska, na Akula, na nyumba ya Onesiforo. Erasto alikaa Korintho.