2 Timothy 4:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Erasto alibaki Korintho, nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Erasto alikaa Korintho. Trofimo nalimwacha huko Mileto, hawezi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Erasto alibaki Korintho. Nilimwacha Trofimo kule Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Erasto alibaki Korintho. Trofimo nilimwacha huko Mileto, mgonjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Erasto alisalia Korinto, Tirofimo nalimwacha mgonjwa Mileto
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Erasto alikaa Korintho. Trofimo nalimwacha huko Mileto, hawezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Erasto alibakia Korinto, na nilimwacha Trofimo kule Mileto kwa sababu alikuwa mugonjwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Trofimo nalimwacha Mileto, hawezi.