2 Timothy 4:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pudensi, Lino na Klaudio wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jitahidi kuja kabla ya wakati wa baridi. Eubulo akusalimu, na Pude, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Jitahidi kuja kabla ya msimu wa baridi. Ebulo anakusalimu, na Pude, Lino, na Klaudia, na ndugu na dada wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pude, Lino na Klaudia wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pudensi, Lino na Klaudio wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitahidi uwezavyo kuja kabla ya majira ya baridi. Eubulo akusalimu, na Pude, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pudensi, Lino na Klaudio wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jikaze, ufike, siku za kipupwe zitakapokuwa hazijatimia! Wanakusalimu Eubulo na Pude na Lino na Klaudia na ndugu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jitahidi kuja kabla ya wakati wa baridi. Eubulo akusalimu, na Pude, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ufanye nguvu kufika mbele ya wakati wa baridi kali. Eubulo, Pude, Lino, Klaudia na wandugu wote waamini wanakusalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Jitahidi kuja kabla ya wakati wa baridi. Eubulo akusalimu, na Pudente, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.