2 Timothy 4:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwangu mimi, nimemiminwa kama kinywaji cha sadaka, na wakati wa kuondoka kwangu kutoka katika maisha haya umekwisha kufika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa dhabihu na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi pamenifikia, niwe ng'ombe ya tambiko, nayo siku yangu ya kufunguliwa kutoka ulimwenguni iko karibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana, mimi sasa niko tayari kutolewa kama sadaka, na wakati wa kufa kwangu umekaribia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana mimi sasa namiminwa, na siku ya kufunguliwa kwangu imekaribia.