3 John 1:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nina mambo mengi nataka kukueleza. Lakini sipendi kutumia kalamu na wino.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninayo bado mengi ya kukwambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalikuwa nayo mengi ya kukuandikia, lakini sitaki kukuandikia tu kwa wino na kalamu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikuwa na mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nina maneno mengi ya kukuambia lakini sitaki kuyaandika ndani ya barua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nalikuwa na maneno mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kukuandikia kwa wino na kalanm.