3 John 1:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nataraji kukuona karibu, nasi tutasema uso kwa uso.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Natumaini kukutembelea hivi karibuni. Hapo tunaweza kukaa pamoja na kuongea uso kwa uso.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana. (G1-15) Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana. Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini natarajia kukuona karibuni, nasi tutasema uso kwa uso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila nangojea, nikuone upesi, tusemeane kinywa kwa kinywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nataraji kukuona karibu, nasi tutasema uso kwa uso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninatumaini kwamba nitakuona sasa hivi na wakati ule tutasemezana pamoja uso kwa uso.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nataraja kukuona karibu na kusema nawe mdomo kwa mdonm.