3 John 1:15 — Compare Translations

12 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amani iwe kwako. Rafiki zetu walio hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walio huko, kila mmoja kwa jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Amani kwako. Rafiki walio pamoja nami hapa wakutumia upendo wao. Tafadhali wapatie upendo wetu kila rafiki waliopo huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utengemano ukukalie! Wapenzi wanakusalimu. Nisalimie wapenzi kila kwa jina lake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakutakia amani. Warafiki zako wanakusalimia. Utusalimie warafiki zetu, kila mutu kwa upekee.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu rafiki, killa mtu kwa jina lake.