Acts 1:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, wakataja majina ya watu wawili; wa kwanza Yosefu aliyeitwa Barsaba (au pia Yusto), na wa pili Mathia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapendekeza majina ya watu wawili: Yusufu, aitwaye Barsaba (ambaye pia alijulikana kama Yusto) na Mathiya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaweka wawili, Yusufu, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na Mathiya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha waliwasimamisha watu wawili mbele ya kundi. Mmoja aliitwa Yusufu Barsaba, ambaye pia aliitwa Yusto. Mwingine aliitwa Mathiasi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakataja majina ya watu wawili; wa kwanza Yosefu aliyeitwa Barsaba (au pia Yusto), na wa pili Mathia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, wakataja majina ya watu wawili; wa kwanza Yosefu aliyeitwa Barsaba (au pia Yusto), na wa pili Mathia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakapendekeza majina ya watu wawili: Yosefu, aitwaye Barsaba (ambaye pia alijulikana kama Yusto) na Mathiya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakapendekeza majina ya watu wawili: Yusufu, aitwaye Barsaba (ambaye pia alijulikana kama Yusto) na Mathiya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaweka wawili, Yusufu, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na Mathiya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, wakataja majina ya watu wawili; wa kwanza Yosefu aliyeitwa Barsaba (au pia Yusto), na wa pili Mathia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasimamisha wawili: Yosefu aliyeitwa Barsaba, aliyekuwa na jina jingine la Yusto, na Matia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaweka wawili, Yusufu, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na Mathiya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakataja watu wawili: mumoja alikuwa Yosefu, aliyeitwa vilevile Barisaba na aliyejulikana vilevile kwa jina la Yusto, na mwingine Matia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaweka wawili, Yusuf, aitwae Barsaba, aliyepewa jina la pili Yusto, na Mattiya.