Acts 10:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama kitambaa kikubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliona mbingu zikifunguka na kitu kama shuka kubwa kikishushwa chini kutoka mbinguni kwa pembe nne.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa kwa ncha zake nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inateremshwa kwa pembe zake nne hadi chini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani anaona: mbingu imefunuka, kutoka mle panashuka chombo kinachofanana na guo kubwa, linatelemshwa chini, likishikwa kwa pembe zake nne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaona katika maono mbingu imefunguliwa wazi, na kitu kimoja kinachokuwa kama nguo kubwa kikishuka, kikitelemushwa mpaka chini, kikishikwa kwenye pembe zake ine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na chombo kikimshukia kama nguo kubwa, kinatelemshwa kwa pembe zake nne hatta inchi.