Acts 10:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: Wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndani yake mlikuwa aina zote za wanyama, watambaao na ndege.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao na ndege wa angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: Wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle ndani wamo nyama wote wenye miguu minne nao watambaao chini nao ndege wa angani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ndani yake kulikuwa kila namna ya nyama wenye miguu mine na wenye kutambaa pamoja na ndege.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndani yake aina zote za nyama zenye miguu mine, na nyama za mwituni, nazo zitambaazo, na ndege za anga.