Acts 10:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro akajibu, “La hasha, Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Petro akasema, “Siwezi kufanya hivyo, Bwana! Sijawahi kula kitu chochote kisicho safi au kisicho stahili kutumiwa kwa chakula.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro akajibu, “La Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu cho chote kilicho najisi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro akajibu, “La hasha, Bwana Mwenyezi! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Petero aliposema: Hapana, Bwana! Kwani zamani zote sijala bado kilicho chenye mwiko au kisichotakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Petro akajibu: “Hapana, hata kidogo Ee Bwana! Mimi sijakula bado kitu chochote kisichoruhusiwa kukuliwa, wala chochote kinachohesabiwa kuwa kichafu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijala kamwe kitu kilicho kichafu au najis.