Acts 10:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jambo hili lilitokea mara tatu, na ghafula kile kitambaa kikarudishwa mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jambo hili likatendeka mara tatu; kisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hili lilimtokea mara tatu. Kisha likachukuliwa mbinguni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jambo hili likatukia mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jambo hili lilitokea mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jambo hili likatendeka mara tatu; kisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikafanyika hivyo mara tatu; kisha chombo kikapazwa mbinguni papo hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jambo hili likatendeka mara tatu; kisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nayo maneno haya yakasikilika tena mara tatu, kisha chombo kile kikanyanyuliwa mbinguni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Jambo hili likatendeka marra tatu: kiisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.