Acts 10:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaita; wakauliza kwamba Simoni aitwaye Petro anakaa humo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliuliza, “Je, Simoni Petro yuko hapa?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaita; wakauliza kama Simoni aitwaye Petro anakaa humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakapaza sauti na kuuliza, kama ndimo, Simoni anayeitwa Petero alimofikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaita; wakauliza kwamba Simoni aitwaye Petro anakaa humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakapiga hodi wakiuliza kama Simoni anayeitwa vilevile Petro anapanga pale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakaita, wakauliza kwamba Simon aitwae Petro anakaa humo.