Acts 10:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni mwake kwa heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro alipoingia ndani ya nyumba, Kornelio alimlaki kisha akaanguka miguuni kwa Petro na akamwabudu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni pake kwa heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni pake kwa heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguuni mwake, akamsujudia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero alipoingia, Kornelio akamwendea, akamwamkia na kumwangukia miguuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro alipokuwa akiingia ndani ya nyumba, Kornelio akaenda kumupokea, akapiga magoti mbele yake na kumwabudu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro alipokuwa akiingia, Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.