Acts 10:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro alipokuwa akizungumza naye, akaingia ndani na kuwakuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika kusema naye akaingia ndani, akaona watu wengi wamekusanyika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro aliendelea kuzungumza na Kornelio. Ndipo Petro akaingia ndani na kuona kundi kubwa la watu wamekusanyika pale.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika kusema naye akaingia ndani, akaona watu wengi wamekusanyika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaongea naye akiingia ndani; akawakuta wengi waliokusanyika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika kusema naye akaingia ndani, akaona watu wengi wamekusanyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro akaingia ndani ya nyumba akiwa akisimulia na Kornelio, na mule akakuta watu wengi wamekusanyika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na katika kusema nae akaingia, akaona watu wengi wamekusanyika.