Acts 10:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: Kwa nini mmeniita?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo nalikuja nilipoitwa, nisikatae; basi nawauliza, ni neno gani mliloniitia?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo sababu sikubisha watu wenu waliponiambia kuja hapa. Sasa, tafadhali niambieni kwa nini mmeniita hapa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: kwa nini mmeniita?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: kwa nini mmeniita?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lo lote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo nilikuja nilipoitwa, nisikatae; basi nawauliza, ni neno gani mliloniitia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: Kwa nini mmeniita?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hiyo nimekuja pasipo kubisha, ulipotuma kwangu. Sasa nawauliza: Ni neno gani, mlilonitumia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo nalikuja nilipoitwa, nisikatae; basi nawauliza, ni neno gani mliloniitia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kwa sababu hii, wakati uliponitumia wajumbe, nilikuja pasipo kusita. Basi sasa ningependa kujua kwa sababu gani muliniita.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hiyo naiikuja nilipoitwa nisikatae; hassi nauliza, ni neno gani mliloniitia?