Acts 10:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na misaada yako kwa maskini imekumbukwa mbele za Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, Kornelio, kuomba kwako kumesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akasema, ‘Kornelio, Mungu amesikia maombi yako na ameona sadaka zako kwa maskini. Anakukumbuka wewe na yote uliyofanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akasema: Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini vimekubaliwa na Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na sadaka zako zimekumbukwa mbele za Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na sadaka zako kwa maskini zimekumbukwa mbele za Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, Kornelio, kuomba kwako kumesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akasema: Kornelio, maombo yako yamesikiwa, nayo magawio yako yamekumbukwa mbele ya Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, Kornelio, kuomba kwako kumesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaniambia: ‘Kornelio, Mungu amesikia maombi yako na kukukumbuka kwa ajili ya misaada unayotoa kwa wamasikini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kornelio, maombi yako yamesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu.