Acts 10:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro akaanza kwa kusema: “Hakika sasa ninaelewa ni kwa nini Mungu hawachukulii kundi fulani la watu kuwa bora kuliko wengine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Petro akafumbua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Petero akakifumbua kinywa chake, akasema: Naitambua kabisa iliyo kweli, ya kuwa Mungu hautazami uso wa mtu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Petro akaanza kuhubiri, akisema: “Sasa ninafahamu kwamba Mungu hana upendeleo,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akafumhua kiuywa chake, akasema, Hakika nimekwisha kutambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;