Acts 10:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnajua yale yaliyotukia katika Yudea yote kuanzia Galilaya baada ya mahubiri ya Yahya:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
jambo lile ninyi mmelijua, lililoenea katika Uyahudi wote likianzia Galilaya, baada ya ubatizo aliouhubiri Yohana;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnafahanu kilichotokea katika Uyahudi yote. Kilianzia Galilaya baada ya Yohana kuwaambia watu kuwa inawapasa kubatizwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnajua yale yaliyotukia katika Uyahudi wote kuanzia Galilaya baada ya mahubiri ya Yohana Mbatizaji:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnajua yale yaliyotukia katika Uyahudi wote kuanzia Galilaya baada ya mahubiri ya Yahya:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
jambo lile ninyi mmelijua, lililoenea kote katika Yudea likianzia Galilaya, baada ya ubatizo aliouhubiri Yohana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnajua jambo lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri Yohane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mnayajua mambo yale yaliyofanyika katika nchi yote ya Yudea, yaliyoanza huko Galilea, Yohana alipokwisha kuutangaza ubatizo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
jambo lile ninyi mmelijua, lililoenea katika Uyahudi wote likianzia Galilaya, baada ya ubatizo aliouhubiri Yohana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munajua mambo yaliyotokea katika Yudea yote, yakianzia katika jimbo la Galilaya nyuma ya mahubiri ya Yoane yaliyoelekea ubatizo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
jambo lile mmelijua, lililoenea katika Yahudi yote likianzia Galilaya, haada ya ubatizo alioukhubiri Yohana;