Acts 10:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro alipokuwa akisema maneno haya, Roho Mtakatifu wa Mungu aliwashukia wote waliokuwa wakisikiliza ule ujumbe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile neno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro alipokuwa bado anazungumza, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanamsikiliza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Petro akiwa anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wakisikiliza ule ujumbe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Petro alikuwa akisema maneno haya, Roho wa Mwenyezi Mungu aliwashukia wote waliokuwa wakisikiliza ule ujumbe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile neno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akingali akiyasema maneno haya, Roho Mtakatifu akawaguia wote waliolisikia lile neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro alipokuwa akisema maneno hayo Roho Mtakatifu akawashukia wote waliolisikia lile neno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro alipokuwa hajamaliza kusema maneno hayo, Roho Mutakatifu akashuka juu ya wote waliosikiliza mahubiri yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro alipokuwa akisema maueno haya Roho Mtakatifu akawashukia wote waliosikia maneno yake.