Acts 10:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja jina lake Simoni aitwaye Petro.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa basi, peleka watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye Petro.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tuma baadhi ya watu sasa waende katika mji wa Yafa wakamlete mtu anayeitwa Simoni, ambaye pia anaitwa Petro.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja jina lake Simoni aitwaye Petro.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja, jina lake Simoni aitwaye Petro.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa basi, tuma watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye Petro.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa hivi tuma watu, waende Yope, wamlete Simoni anayeitwa Petero!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa basi, peleka watu Yafa, ukamwite Simoni, aitwaye Petro.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi sasa; uwatume watu Yopa waende kumwita mutu mumoja jina lake Simoni anayeitwa vilevile Petro.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, peleka watu Yoppa, ukamwite Simon, aitwae Petro: