Acts 11:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho aliniambia niende pamoja nao bila kusita. Hawa ndugu sita waliandamana nami pia kwenda Kaisarea na huko tuliingia nyumbani mwa Kornelio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho Mtakatifu wa Mungu akaniambia niende nao bila kuwa na ubaguzi kati yao na sisi. Hawa ndugu sita pia walifuatana nami, nasi tukaingia nyumbani mwa huyo Kornelio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho akaniambia nifuatane nao, nisione tashwishi. Ndugu hawa sita nao wakaenda pamoja nami, tukaingia katika nyumba ya mtu yule;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Roho Mtakatifu aliniambia niende nao bila kuwa na mashaka. Ndugu hawa hapa sita walikwenda pamoja nami, na tulikwenda katika nyumba ya Kornelio.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Roho aliniambia niende pamoja nao bila kusita. Hawa ndugu sita waliandamana nami pia kwenda Kaisarea na huko tuliingia nyumbani mwa Kornelio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho aliniambia niende pamoja nao bila kusita. Hawa ndugu sita waliandamana nami pia kwenda Kaisarea na huko tuliingia nyumbani mwa Kornelio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho Mtakatifu akaniambia niende nao bila kuwa na ubaguzi kati yao na sisi. Hawa ndugu sita pia walifuatana nami, nasi tukaingia nyumbani mwa huyo Kornelio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho wa Mwenyezi Mungu akaniambia niende nao bila kuwa na ubaguzi kati yao na sisi. Hawa ndugu sita pia walifuatana nami, nasi tukaingia nyumbani mwa huyo Kornelio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho akaniambia nifuatane nao, nisione tashwishi. Ndugu hawa sita nao wakaenda pamoja nami, tukaingia katika nyumba ya mtu yule;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho aliniambia niende pamoja nao bila kusita. Hawa ndugu sita waliandamana nami pia kwenda Kaisarea na huko tuliingia nyumbani mwa Kornelio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Roho akaniambia, niende pamoja nao pasipo mashaka; hata hawa ndugu sita wakafuatana nami, tukaingia nyumbani mwake yule mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho akaniambia nifuatane nao, nisione tashwishi. Ndugu hawa sita nao wakaenda pamoja nami, tukaingia katika nyumba ya mtu yule;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Roho Mutakatifu akaniambia kwamba niende pamoja nao bila kusita. Na hawa wandugu sita munaowaona wakanisindikiza, nasi tukafika na kuingia sisi wote ndani ya nyumba ya Kornelio.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Roho akaniambia nifuatane nao, nisione mashaka. Ndugu hawa sita nao wakaenda pamoja nami, tukaingia katika nyumba ya mtu yule: