Acts 11:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nami nilipoanza kusema, Roho wa Mungu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilipoanza kuzungumza, Roho Mtakatifu alikuja juu yao kama vile alivyokuja juu yetu mwanzo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nami nilipoanza kusema, Roho Mtakatifu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nami nilipoanza kusema, Roho wa Mwenyezi Mungu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nilipoanza kusema, Roho Mtakatifu akawaguia, kama alivyotuguia hata sisi hapo kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nilipoanza kusema, Roho Mutakatifu akashuka juu yao sawa vile alivyoshuka juu yetu kwanza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.