Acts 11:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa pamoja nao, nayo idadi kubwa ya watu wakaamini na kumgeukia Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao, watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nguvu ya Bwana iliambatana na watu hawa, na idadi kubwa ya watu waliamini na kuamua kumfuata Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nao, nayo idadi kubwa ya watu wakaamini na kumgeukia Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wa Mwenyezi Mungu ulikuwa pamoja nao, nayo idadi kubwa ya watu wakaamini na kumgeukia Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao, watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana aliwasaidia na idadi kubwa ya watu iliamini na kumgeukia Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nao, wakawa wengi waliomgeukia Bwana kwa kumtegemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao, watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Bwana akawaongoza kwa uwezo wake, hata watu wengi sana wakaamini neno la Bwana na kumugeukia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao: watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.