Acts 11:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Habari ya jambo hilo ikasikika kwa lile kanisa la Yerusalemu. Hivyo wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Habari hizi zilipofika masikioni mwa waumini wa Isa huko Yerusalemu, wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hata Antiokia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kanisa katika mji wa Yerusalemu liliposikia kuhusu hili, lilimtuma Barnaba kwenda Antiokia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Habari ya jambo hilo ikasikika kwa lile kanisa la Yerusalemu. Hivyo wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Habari ya jambo hilo ikasikika kwa lile kanisa la Yerusalemu. Hivyo wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Habari hizi zilipofika masikioni mwa kanisa huko Yerusalemu, wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Habari hizi zilipofika masikioni mwa waumini huko Yerusalemu, wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hadi Antiokia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Habari ya jambo hilo ikasikika kwa lile kanisa la Yerusalemu. Hivyo wakamtuma Barnaba aende Antiokia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hilo neno lao liliposikilika masikioni pa wateule waliokuwa huko Yerusalemu, wakamtuma Barnaba, aende Antiokia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako katika Yerusalemu; wakamtuma Barnaba, aende hata Antiokia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kanisa la Yerusalema waliposikia habari hii, wakamutuma Barnaba kwenda kule Antiokia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Khabari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwa katika Yerusalemi: wakaintuma Barnaba, aende hatta Antiokia.