Acts 11:24 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho wa Mungu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho Mtakatifu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho wa Mwenyezi Mungu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa mtu mwema aliyejaa Roho takatifu alizidi kumtegemea Mungu; kwa hiyo kikundi kizima cha watu kikapelekwa kwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barnaba alikuwa mutu mwema, mwenye kujazwa na Roho Mutakatifu na mwenye imani sana. Na watu wengi wakaongezeka kwa Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana alikuwa mtu mwema, amejaa Roho Mtakatifu na imani: watu wengi wakajitia upande wa Bwana.