Acts 11:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe umekwenda kukaa na watu wasiotahiriwa na hata umekula pamoja nao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakisema, “Ulienda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakisema, Uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walisema, “Uliingia katika nyumba za watu wasio Wayahudi ambao hawajatahiriwa na ukala pamoja nao!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Wewe umekwenda kukaa na watu wasiotahiriwa na hata umekula pamoja nao!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe umekwenda kukaa na watu wasiotahiriwa na hata umekula pamoja nao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakisema, “Ulikwenda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakisema, “Ulikwenda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakisema, Uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe umekwenda kukaa na watu wasiotahiriwa na hata umekula pamoja nao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeingia mwa watu wasiotahiriwa, ukala pamoja nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakisema, Uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakisema: “Uliingia ndani ya nyumba ya watu wasiokuwa wa taifa letu na kula chakula pamoja nao!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao.