Acts 11:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nikasikia sauti ikiniambia: ‘Petro amka, chinja, ule.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikasikia sauti ikiniambia, ‘Petro, ondoka uchinje na ule.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilisikia sauti ikiniambia. Chinja chochote hapa na ule!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha nikasikia sauti ikiniambia: Petro amka, chinja, ule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nikasikia sauti ikiniambia: ‘Petro amka, chinja, ule.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikasikia sauti ikiniambia ‘Petro, ondoka uchinje ule.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikasikia sauti ikiniambia ‘Petro, ondoka uchinje na ule.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nikasikia sauti ikiniambia: ‘Petro amka, chinja, ule.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha nikasikia sauti ya kuniambia: Inuka, Petero, uchinje, ule!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na nikasikia sauti ikiniambia: ‘Petro, simama. Chinja na ukule!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nikasikia sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.