Acts 12:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini wa Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Katika wakati huu huu, Mfalme Herode akaanza kuwatesa baadhi ya waamini waliokuwa sehemu ya kanisa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilikuwa wakati kama huu Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya watu wa kanisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Panapo majira yale yale, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile mfalme Herode alikuwa amekamata wengine miongoni mwao wateule, awafanyizie maovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku zile mufalme Herode akaanza kutesa watu wamoja wa kanisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
PANAPO majira yaleytile Herode mfalme tw akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa Kanisa.