Acts 12:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mjakazi aliyeitwa Roda akaja kumfungulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Roda, akaja kusikiliza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro alibisha kwenye mlango wa nje. Mtumishi wa kike aliyeitwa Rhoda alikuja ili afungue mlango.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro alibisha mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mtumishi wa kike jina lake Roda, akaja kumfungulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mtumishi wa kike jina lake Roda, akaja kumfungulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Roda, akaja kusikiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipogonga kilango kilichomo langoni, akaja kijakazi kusikiliza, jina lake Rode.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Roda, akaja kusikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro alipiga hodi kwenye mulango wa inje, mujakazi mumoja aliyeitwa Roda akakuja kwenye mulango.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Petro alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Rhoda, akaja kusikiliza.