Acts 12:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliamuru Yakobo aliyekuwa kaka yake Yohana, auawe kwa upanga.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alimwua kwa upanga Yakobo ndugu yake Yohane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaamuru Yakobo, ndugu ya Yoane, auawe kwa upanga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwua Yakobo ndugu wa Yohana kwa upauga.