Acts 12:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliokuwa wamekusanyika wakapaza sauti, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wakapaza sauti zao na kusema, “Hii ni sauti ya mungu, siyo mwanadamu!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliokuwa wamekusanyika wakapiga kelele, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliokuwa wamekusanyika wakapiga kelele, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya mungu, si sauti ya mwanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipoitikia kwamba: Ni Mungu, tunayemsikia, si mtumtu tu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wakalalamika wakisema: “Hii ni sauti ya Mungu, wala si ya mutu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu wakapiga kelele, wakinena, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwana Adamu.