Acts 12:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mungu likazidi kuenea na kukua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini neno la Mungu likaendelea mbele na kuenea, nao wengi wakaambatana nalo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likazidi na kuenea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ujumbe wa Mungu ulikuwa unasambaa, ukiwafikia watu wengi zaidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Neno la Mungu likazidi kuenea na kukua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mungu likazidi kuenea na kukua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini neno la Mungu likaendelea mbele na kuenea, nao wengi wakaambatana nalo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini neno la Mwenyezi Mungu likaendelea mbele na kuenea, nao wengi wakaambatana nalo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la Bwana likazidi na kuenea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mungu likazidi kuenea na kukua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Neno la Bwana likakua na kuenea pengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la Bwana likazidi na kuenea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Neno la Mungu likaendelea mbele na kuenea fasi nyingi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neno la Bwana likazidi na kuenea.