Acts 12:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Kisha akamwambia, “Jifunge vazi lako na unifuate.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu vyako. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Malaika akasema, “Vaa nguo na viatu vyako.” Petro alifanya kama alivyoambiwa. Kisha malaika akasema, “Vaa koti lako na unifuate.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Kisha akamwambia, “Jifunge vazi lako na unifuate.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Kisha akamwambia, “Jifunge vazi lako na unifuate.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu vyako. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha malaika akamwambia: Jifunge nguo zako, uvae navyo viatu vyako! Alipokwisha kufanya hivyo, akamwambia tena: Jivike kanzu yako, unifuate!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu vyako. Akafanya hivyo. Kisha akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha malaika akamwambia: “Funga mukaba na uvae viatu vyako.” Petro akafanya vile, naye malaika akamwambia tena: “Vaa koti yako na kunifuata.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu: akafanya hivyo. Akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.