Acts 13:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao waliendelea na safari toka Perga hadi mjini Antiokia Pisidia. Siku ya Sabato waliingia ndani ya sunagogi, wakakaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka Perga wakaendelea hadi Antiokia ya Pisidia. Siku ya Sabato wakaingia ndani ya sinagogi, wakaketi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wao wakatoka Perge, wakapita kati ya nchi, wakafika Antiokia, mji wa Pisidia, wakaingia katika sinagogi siku ya sabato, wakaketi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliendelea na safari yao kutoka Perge na kwenda Antiokia, mji karibu na Pisidia. Siku ya Sabato walikwenda katika sinagogi la Kiyahudi na kuketi chini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wao waliendelea na safari toka Pisga hadi mjini Antiokia Pisidia. Siku ya Sabato waliingia ndani ya Sunagogi, wakakaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao waliendelea na safari toka Perga hadi mjini Antiokia Pisidia. Siku ya Sabato waliingia ndani ya sunagogi, wakakaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka Perge wakaendelea hadi Antiokia ya Pisidia. Siku ya Sabato wakaingia ndani ya sinagogi wakaketi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka Perga wakaendelea hadi Antiokia ya Pisidia. Siku ya Sabato wakaingia ndani ya sinagogi, wakaketi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wao wakatoka Perge, wakapita kati ya nchi, wakafika Antiokia, mji wa Pisidia, wakaingia katika sinagogi siku ya sabato, wakaketi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao waliendelea na safari toka Perga hadi mjini Antiokia Pisidia. Siku ya Sabato waliingia ndani ya sunagogi, wakakaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Perge, wakakata nchi, wakafika Antiokia wa Pisidia; siku ya mapumziko wakaingia nyumbani mwa kuombea, wakakaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wao wakatoka Perge, wakapita kati ya nchi, wakafika Antiokia, mji wa Pisidia, wakaingia katika sinagogi siku ya sabato, wakaketi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kule wakaendelea na safari yao na kufika mpaka katika muji Antiokia wa jimbo la Pisidia. Siku ya Sabato ilipotimia, wakaingia ndani ya nyumba ya kuabudia na kuikaa mule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini wao wakatoka Perga, wakapita kati ya inchi, wakafika Antiokia mji wa Pisidia, wakaingia katika sunagogi siku ya sabato, wakaketi.