Acts 13:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na ukoo wake mtu huyu, Mungu, kama alivyoahidi, amewapelekea watu wa Israeli Mwokozi, ndiye Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kutoka uzao wa mtu huyu, Mungu amewaletea Israeli Mwokozi Isa, kama alivyoahidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika uzao wake mtu huyo Mungu amewaletea Israeli Mwokozi, yaani, Yesu, kama alivyoahidi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama alivyoahidi, Mungu amemleta mmoja wa wazao wa Daudi katika Israeli ili awe Mwokozi wao, mzao huyo wa Daudi ni Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutokana na ukoo wake mtu huyu, Mungu, kama alivyoahidi, amewapelekea watu wa Israeli Mwokozi, ndiye Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na ukoo wake mtu huyu, Mungu, kama alivyoahidi, amewapelekea watu wa Israeli Mwokozi, ndiye Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kutoka katika uzao wa mtu huyu, Mungu amewaletea Israeli Mwokozi Yesu, kama alivyoahidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kutoka uzao wa mtu huyu, Mungu amewaletea Israeli Mwokozi Isa, kama alivyoahidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika uzao wake mtu huyo Mungu amewaletea Israeli Mwokozi, yaani, Yesu, kama alivyoahidi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na ukoo wake mtu huyu, Mungu, kama alivyoahidi, amewapelekea watu wa Israeli Mwokozi, ndiye Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika uzao wake huyo Mungu akawaletea Waisiraeli mwokozi Yesu, kama alivyoagana nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika uzao wake mtu huyo Mungu amewaletea Israeli Mwokozi, yaani, Yesu, kama alivyoahidi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na toka katika uzao wa mutu huyo Mungu akawaletea Waisraeli Mwokozi, ndiye Kristo, kama vile alivyokuwa amewaahidia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Katika uzao wake mtu huyo Mungu amewaletea Israeli Mwokozi, yaani Yesu, kama alivyoahidi,