Acts 13:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla ya kuja kwa Isa, Yahya alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yohana alipokuwa amekwisha kuwahubiri watu wote wa Israeli habari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kabla Yesu hajaja, Yohana aliwaambia watu wote wa Israeli wanachopaswa kufanya. Waliwaambia wabatizwe kuonesha kuwa walitaka kubadili maisha yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla ya kuja kwa Yesu, Yohana alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla ya kuja kwa Isa, Yahya alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yohana alipokuwa amekwisha kuwahubiria watu wote wa Israeli habari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuwa hajawatokea bado, Yohana alikwisha kuwatangazia watu wote wa Isiraeli ubatizo wa kujutisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yohana alipokuwa amekwisha kuwahubiri watu wote wa Israeli habari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele Yesu hajajionyesha, Yoane alihubiri kwa Waisraeli wote kwamba wageuke toka zambi zao na kubatizwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yohana alipokuwa amekwisha kuwakhubiri watu wote wa Israeli khabari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.