Acts 13:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa yameandikwa kumhusu yeye, walimshusha kutoka msalabani, wakamweka kaburini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokwisha kufanya yale yote yaliyoandikwa kumhusu, walimshusha kutoka msalabani na kumzika kaburini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata walipokwisha kumaliza yote aliyoandikiwa, wakamtelemsha katika ule mti, wakamweka kaburini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wayahudi hawa walimtendea Yesu mambo yote mabaya ambayo Maandiko yalisema yangempata Yesu. Kisha walimteremsha Yesu kutoka msalabani na kumweka kaburini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa yameandikwa kumhusu yeye, walimshusha kutoka msalabani, wakamweka kaburini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa yameandikwa kumhusu yeye, walimshusha kutoka msalabani, wakamweka kaburini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokwisha kufanya yale yote yaliyoandikwa kumhusu, walimshusha kutoka msalabani na kumzika kaburini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokwisha kufanya yale yote yaliyoandikwa kumhusu, walimshusha kutoka msalabani na kumzika kaburini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata walipokwisha kumaliza yote aliyoandikiwa, wakamteremsha kutoka katika ule mti, wakamweka kaburini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa yameandikwa kumhusu yeye, walimshusha kutoka msalabani, wakamweka kaburini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walipokwisha kuyatimiza yote, aliyoandikiwa, wakamwambua mtini, wakamzika kaburini;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata walipokwisha kumaliza yote aliyoandikiwa, wakamtelemsha katika ule mti, wakamweka kaburini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wakati walipokwisha kutimiza yote yaliyoandikwa juu yake, wakamushusha toka juu ya musalaba na kumuzika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta walipomaliza yote aliyoandikiwa, wakamshusha katika mti, wakamweka kaburini.