Acts 13:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi wajukuu wao kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: ‘Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
sasa ameyatimiza kwetu sisi, watoto wao, kwa kumfufua Isa, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: “ ‘Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuwa Baba yako.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya kwamba Mungu amewatimizia watoto wetu ahadi hiyo, kwa kumfufua Yesu; kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwanangu, mimi leo nimekuzaa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sisi ni wazao wao, na Mungu ameitimiza ahadi hii kwa ajili yetu. Mungu aliitimiza ahadi hii kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Tunasoma pia kuhusu hili katika Zaburi 2: ‘Wewe ni Mwanangu. Leo nimekuwa baba yako.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi wajukuu wao kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: ‘Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
sasa ameyatimiza kwetu sisi watoto wao, kwa kumfufua Yesu, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: “ ‘Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
sasa ameyatimiza kwetu sisi watoto wao, kwa kumfufua Isa, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: “ ‘Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya kwamba Mungu amewatimizia watoto wetu ahadi hiyo, kwa kumfufua Yesu; kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwanangu, mimi leo nimekuzaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi wajukuu wao kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: ‘Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu amekitimizia wana wetu alipomfufua Yesu. ndivyo, alivyoandikwa hata katika shangilio la pili: Wewe ndiwe Mwanangu, siku hii ya leo mimi nimekuzaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya kwamba Mungu amewatimizia watoto wetu ahadi hiyo, kwa kumfufua Yesu; kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwanangu, mimi leo nimekuzaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ameitimiza kwa ajili yetu sisi wazao wao. Amefanya hivi kwa kumufufua Yesu kwa kuhakikisha maandiko haya ya Zaburi ya pili yanayosema: ‘Wewe ni mwana wangu, mimi leo ninakuwa baba yako.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwana wangu, mimi leo nimekuzaa.