Acts 13:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na juu ya kumfufua kutoka kwa wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: ‘Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ya kuwa alimfufua katika wafu, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alimfufua Yesu kutoka kwa wafu. Yesu hatarudi kaburini na kuwa mavumbi. Hivyo Mungu alisema, ‘Nitawapa ahadi ya kuaminiwa na takatifu niliyoiahidi kwa Daudi.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na juu ya kumfufua kutoka wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na juu ya kumfufua kutoka kwa wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: ‘Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ya kuwa alimfufua katika wafu, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi, Nitawapa ninyi mambo matakatifu ya Daudi yaliyo amini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na juu ya kumfufua kutoka kwa wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: ‘Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ya kuwa amemfufua katika wafu, asirudie tena kuoza, ndivyo, alivyosema kwamba: Nitawapa ninyi magawio matakatifu ya Dawidi yanayotegemeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ya kuwa alimfufua katika wafu, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi, Nitawapa ninyi mambo matakatifu ya Daudi yaliyo amini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na juu ya ufufuko wa Yesu, kusudi asipate kuoza, Mungu alisema: ‘Nitakupa baraka takatifu zinazokuwa za hakika, nilizomwahidia Daudi.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena ya kuwa alimfufua, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi, Nitakupa wewe mambo matakatifu ya Daud yaliyo amini.