Acts 13:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo anena na pengine,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Zaburi nyingine inasema, ‘Hautaruhusu Mtakatifu wako aoze kaburini.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naam, na katika sehemu nyingine za zaburi asema: Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aone uharibifu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo anasema hata pengine: Hutamtoa akuchaye, apate kuoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo anena na pengine, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa hiyo inasemwa tena katika maandiko mengine: ‘Hautakubali mutumishi wako mutakatifu aoze.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo na penginepo anena, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.